Month: January 2016
Official Video HD| Humblesmith ft Davido – Osinachi
Kutoka Nigeria anaitwa Humblesmith akiwa na davido wimbo unaitwa Osinachi angalia hapa.
Video: Shilole – Nyang’anyang’a (Official Video)
Tazama video mpya ya Shilole – Nyang’anyang’a [youtube https://www.youtube.com/watch?v=ZA22teuu5-Q]
“Lupela” ya Ali Kiba kutoka Alhamisi Hii
Baada ya kimya cha muda mrefu, HitMaker wa Chekacha maarufu kama Ali Kiba anatarajia kuachia mkwaju mpya siku ya Alhamisi…
Diamond Platnumz ashinda tuzo mbili kubwa nchini Uganda
Diamond Platnumz anazidi kuwa tishio Afrika, usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo mbili katika tuzo za Hippipo AWARD za nchini…