Galaxy: Kuachia Ngoma Mpya Top In My Heart

Msanii ambaye kwa Mara ya kwanza show yake alitikisa na star Robeto Amarula mjini Mwanza na kupokelewa vizuri sasa anakuja na mzigo mpya kabisa katika sikio lako. Uitwao Top In My Heart chini ya producer Elly Da bway na Manwoter soon.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *