Hatimaye Chid Benz Afungua Ukurasa Mpya Wa Instagram June 15, 2016 by Hassbaby Ni Msanii mkongwe wa Rap hapa Tanzania Chid Beenz Saa 1 limepita tangu afungue ukurasa mpya wa instagram waweza kumfollow hapa kama shabiki na mdau wa ukweli wa Officialchidibeenz