Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Master J amesema
soko la watayarishaji wa muziki nchini limeshuka ambapo
zamani amedai walikuwa wanarekodi wimbo mmoja kwa tsh
1 milioni tofauti na sasa ambapo amedai ngoma moja
Master J amesema hali hiyo imefanya maisha ya watayarishaji
wengi wa muziki kuwa chini.
.
“Sisi tulianza kwa kulipwa tsh 5,000, 10,000 mpaka
tukafikisha tsh milioni 1 kwa kila nyimbo lakini sasa hivi
nasikia bei zimeshuka mpaka 60,000,” alisema Master J.
Aliongeza, “Kwam hiyo kwa maproducer game siyo zuri lakini
kwa wasanii game zuri sana. Wakati sisi wakati ule tulianza
kwa tsh 5000, 10000 mpaka sasa hivi ni tsh 30,000 maana
tsh 60,000 nawapendelea,”