Nilipenda Kuwa Producer Tu,Sikutegemea Kama Nitakuja Kuimba Tekno

Nilianza muziki kimasihara sana nilikuwa napenda kuwa producer tu nilijikuta naimba sikujua kama itafikia mda naweza tamani kuimba tu na kucheza nikawa na mis mpaka kutengeneza beat ila mungu ni waajabu nashukuru mpaka sasa nilipo fikia .

Nilipotoa Holiday na davido ilipokelewa ila haikuwa zaidi ya sasa ambapo nikitoa nyimbo kila mtu anakuwa anataka kusikia nimefanya kitu gani namini taratibu naendelea kuwapa watu vitu vinavyo wafurahisha kama Duro ,Wash nazingine nyingi zinakuja nachopenda kusema wasinitupe mi mtu wao nitaendelea kuwapa vikali kila itwapo leo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *