Prince Hdv:Siamini Uchawi Ila Kwenye Tasnia Ya Filamu Upo

Kuna wakati ninakaa nakuangalia tasnia kama msanii nashindwa niseme vipi ila asilimia kubwa ya wasanii hatupendani kabisa mtu anakuwa yupo tayari afanye mambo yake ya ajabu ilitu akifika maeneo aonekane yeye ndio yeye katika watu Fulani.

Unaweza sema niuongo ila movie zetu zinamambo mengi sana yanaweza kukukatisha tamaa ila kama unamua kufanya jambo unafanya tu kwasababu umeamua kufika mbali na uweze kulitimiza .
Namtegemea mungu kwa kila nachofanya nikiamini ipo siku nitafika “Alisema msanii Wa Movie Prince HDV .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *