Uongozi Changamoto Kubwa Ilikuwa Kumshawishi Belle 9 Ahamie Dar

Uongozi wa kampuni ya Vitamin Music Group unaomsimamia
Belle 9, umedai kuwa mtihani mkubwa uliokuwa nao ni
kumshawishi Belle 9 ahamie Dar.

Muimbaji huyo alihamia Dar mwaka jana baada ya kuendelea

kuishi kwao Morogoro licha ya kuwa staa tayari.


Akiongea kwenye XXL cha @cloudsfmtzwakati wa utambulisho

wa remix ya Bulger Movie Selfie, meneja wake alidai kuwa

ilibidi Belle ahamie Dar kutokana na kuwa kitovu cha

burudani Tanzania.

.

“Ilikuwa ni issue ngumu sana kuweza kwasababu Belle 9 ana

familia kule kwahiyo kumtoa Morogoro kumleta Dar ilikuwa ni

issue kubwa sana,” alisema meneja wake.


Amesema uamuzi huo ulirahisisha mambo mengi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *