Huddah amshushia maneno Diamond Platnumz

Baada ya sekeseke la “Mtoto” lililo chukua nafasi kubwa kwenye vichwa vya habari Bongo, Mrembo toka 254 Kenya Huddah amemtolea uvivu Mwanamuziki Diamond Platnumz.
Diamond ambae alikubali kwenye kituo cha utangazaji cha Redio cha Clouds Fm kuwa ni kweli amezaa na Mrembo wa Kitanzania Hamisa Mobetto na kuwa ni shetani tu alimpitia huku akifunguka mengi zaidi kuhusu yeye na mwanadada huyo pia mahusiano yake na Zari the Big Boss wa Uganda.

Picha chini zinaonesha alichokiandika Huddah

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *