Lulu Diva apata Collabo ya Kimataifa

Msanii wa kizazi kipya Luludiva
Ambae kwa mda mfupi amekuwa Na fan base kubwa nchini Na Nje ya Nchii kutokana Na jitihada zake katika mziki wake
Nyimbo zake zimeonekana kufanya vizuri  Katika media za hapa Nchini  East Africa,Nigeria,South Africa Na Congo

Kwa Mara ya kwanza amefanikiwa kupata collabo ya kimataifa
Ameshirikishwa Na msanii Maarufu kutoka Zimbambwe ambae yupo chini ya label ya Military touch inayomilikiwa Na msanii mkubwa wa Zimbabwe anaitwa Jah Prayzah alofanya nyimbo Na Diamond Platnum

Lulu diva ameelezea jinsi alivyoipata hiyo collabo
Nanukuu kutoka kwa Lulu Diva
( Jah Prayzah najuana nae since naenda south ku shoot ngoma yangu ya pili ya Usimwache
Tokea hapo amekuwa akiona kazi zangu Chanel kubwa Kama MTV,Trace na zingine so huwa ananifatilia Na  kunipongeza kwa juhudi anazoziona nazifanya katika mziki wangu

Aliniambia anakuja Tanzania akifika tuonane
Alipofika alinitafuta na kuniomba nifanye collabo Na msanii wake Exq ambae yupo chini yake
Akanisikilizisha nyimbo nikaiona ni nzuri Na Mimi naweza fanya kitu kizuri
Kwa iyo sikusita kutoa jibu nilikubali hapo hapo sababu niliona ntapata faida Kwani ntaongeza mashabiki kutoka Zimbabwe Na Fanbase yangu itaongezeka
Tulifikia muafaka Na tayari tumefanya
Siku yoyote itakuwa hewani manaake tumeshafanya Na video
Watanzania wenzangu, mashabiki zangu wawe tayari kusikia Na kuona hiyo project Na ku push ifike mbali
Nyimbo imefanywa Na Maproducer wakubwa watatu ambao ni
Producer wao:
Tamuka

Tanzania ni:
Abbydady
Tuddy Thomas )

Na hivyo ndo alivyofunguka Msanii huyo wa Kizazi kipya Lulu Diva

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *