Download Nyimbo Mpya Aggie – Nana Cover

Naitwa Aggie ni mwanamziki mpya kutoka city music records ,,, mziki nimeanza yapata miaka miwili sasa nilikuwa pia mwanafunzi wa Tanzania house of Talent (Tht) .Nimeanza kwa kurecord covers na hii ndio Kati ya hizo nilizozifanya Nananana ya @Missrizy .Sababu yakuifanya nyimbo hii ni nyimbo niliyokuwa naipenda Sana kabla na baada ya kuingia kwenye industry ya mziki na @missrizy ni moja Kati ya wasanii wa kike walioniispire na natumaini nimeitendea haki nyimbo hii . Nananana(cover) imerekodiwa Citymusicrecords producer @oscyboymnyama_tzNaombeni mnipokee na support yenu mashabiki najua nyie ndo mtakao nifanya Aggie nifike mbali

Download Mp3

Sasa waweza ku download nyimbo mpya zote kupitia link hii kwa urahisi zaidi DOWNLOAD

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *