Mahlatse Makudubela atua Yanga

Winga wa Marumo Gallants , Mahlatse Makudubela (33) almaarufu SKUDU raia wa Afrika Kusini, amesajiliwa na Wana Jangwani Young Africa ambapo ataitumikia Klabu hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *