Wema Sepetu kujifungua miezi saba ijayo, Idris afunguka

Juzi Idris aliweka wazi kuwa Wema Sepetu ni Mjamzito na anategemea kupata mtoto hivi karibuni, hii imeondoa zile fununu kuwa Idris na Wema Sepetu ni wapenzi.

Wema-Sepetu

Katika kipindi cha Amplifaya kinachoendeshwa na Millard Ayo, Idris amesema “Yes very soon natarajia kupata mtoto kama miezi 6 au 7 ijayo” alipoulizwa kama ameshajua jinsia ya mtoto huyo mtarajiwa Idris amesema “No hatujui mwenzangu anataka surprise. Mimi nataka kujua kabla kwahiyo bado hatujafikia muafaka, naogopa nisije nikawa nanunua vigauni akaja Wa kiume bure…..Huwezi kuwazuia watu kuongea, waache waongee maana sometimes watu ni wagumu kupokea changes lakini siku zinavyoenda naamini wataelewa tu.

Leave a Comment