Snoop Dogg: Kumpuzika kuvuta bangi kumenifanya niwe mtu poa

Snoop Dogg amejiwekea utaratibu wa kupumzika kutumia Bangi kwa miezi mitatu ndani ya mwaka mmoja, hicho ni kipindi ambacho huwa anakuwa Kocha wa Timu ya watoto, hivyo inamlazimu kuacha kutumia mmea huo.

snoop-smoke

Akiongea katika kipindi cha “Kocktails With Khloe” Snoop Dogg amesema kuwa imemmlazimu kuacha kutumia bangi kwa muda wa siku 180 kwa sababu huwa anakuwa kocha katika timu ya watoto, na kwa mujibu wake anasema kuwa kuacha bangi kumemfanya awe kocha mzuri katika timu hiyo ya watoto, kwa hiyo anapokuwa mbele ya watoto hao huwa hataki wasikie harufu ya Bangi.

Leave a Comment