Diamond Platnumz: Kama Tiffa sio mwanangu, zaa wa kwako awe wa halali

Kumekuwa na maneno mengi ambayo watu mbalimbali wamekuwa akiyajadili kuhusu Diamond Platnumz hasa kuhusu mwanae Tiffa kuwa sio mtoto wake, Diamond Platnumz ameonyesha kuchukizwa sana na kauli hizo na ameamua kufunguka.

1

Akihojiwa na Mtangazaji Millard Ayo Diamond amesema”haipendezi, haitoshi unaweka kwenye account yako unamzungumzia mwanangu sio vizuri, kama mtoto sio wangu acha abaki sio wangu, zaa wa kwako wewe wa kwako awe wa halali, kwanini umzungumzie binti yangu, sipendezewi“.

Leave a Comment